sw_mrk_text_ulb/02/13.txt

1 line
234 B
Plaintext

\v 13 Alienda tena kando ya ziwa, na umati wote wa watu walikuja kwake, na akawafundisha. \v 14 Alipokuwa akipita alimwona Mlawi mwana wa Alfayo ameketi kwenye sehemu ya kukusanyia kodi na akamwambia, "Nifuate." Alisimama na kumfuata.