sw_mrk_text_ulb/02/10.txt

1 line
375 B
Plaintext

\v 10 Lakini ili wapate kujua ya kuwa Mwana wa Adamu ana mamlaka ya kusamehe dhambi katika dunia, alimwambia yule aliyepooza, \v 11 "Inuka, chukua mkeka wako, na uende nyumbani." \v 12 Alisimama na mara moja akachukua mkeka wake, na alienda nje ya nyumba mbele ya kila mtu, hivyo wote wakashangaa na wakampa Mungu utukufu, nakusema "Kamwe, hatujawahi kuona jambo kama hili."