\c 2 \v 1 Yesu aliporudi Kaperinaumu baada ya siku chache walisikika kwamba yupo nyumbani. \v 2 Watu wengi sana walikusanyika pale na haikuwepo nafasi tena, hata pale mlangoni, na Yesu alisema maneno kwao.