sw_mrk_text_ulb/01/27.txt

1 line
243 B
Plaintext

\v 27 Na watu wote walishangaa, hivyo wakaulizana kila mmoja, "Hii ni nini? Nimafundisho mapya yenye mamlaka? Hata huamuru pepo wachafu nao wanamtii!" \v 28 Na habari kuhusu yeye mara moja zikasambaa kila mahali ndani ya mkoa wote wa Galilaya.