sw_mrk_text_ulb/01/23.txt

1 line
390 B
Plaintext

\v 23 Wakati huo huo kulikuwa na mtu katika sinagogi lao aliyekuwa na roho mchafu, na alipiga kelele, \v 24 akisema, "Tuna nini cha kufanya na wewe, Yesu wa Nazareti? Umekuja kutuangamiza? Nakujua u nani. Wewe ni Mtakatifu pekee wa Mungu!" \v 25 Yesu alimkemea pepo na kusema, "Nyamaza na utoke ndani yake!" \v 26 Na roho mchafu alimwangusha chini na akatoka kwake akilia kwa sauti ya juu.