\v 14 Sasa baada ya Yohana kukamatwa, Yesu alikuja Galilaya akitangaza injili ya Mungu, \v 15 akisema, "Muda umetimia, na ufalme wa Mungu umekaribia. Tubuni na kuamini katika injili".