1 line
345 B
Plaintext
1 line
345 B
Plaintext
\v 9 Ilitokea katika siku hizo kwamba Yesu alikuja kutoka Nazareti ya Galilaya, na alibatizwa na Yohana katika mto Yordani. \v 10 Naye Yesu alipoinuka kutoka kwenye majini, aliona mbingu zimegawanyika wazi na Roho akishuka toka juu yake kama mfano wa njiwa. \v 11 Na sauti ilitoka mbinguni, "Wewe ni Mwanangu mpendwa. Ninapendezwa sana na wewe." |