sw_mrk_text_ulb/01/04.txt

1 line
376 B
Plaintext

\v 4 Yohana alikuja, akibatiza nyikani na kuhubiri ubatizo wa toba uletayo msamaha wa dhambi. \v 5 Nchi yote ya Yudea na watu wote wa Yerusalemu walikwenda kwake. Walikuwa wakibatizwa naye katika mto Yordani, wakiungama dhambi zao. \v 6 Yohana alikuwa anavaa vazi la manyoya ya ngamia na mkanda wa ngozi kiunoni mwake, na alikuwa anakula chakula cha nzige na asali ya porini.