sw_mrk_text_ulb/01/01.txt

1 line
267 B
Plaintext

\c 1 \v 1 Huu ni mwanzo wa injili ya Yesu Kristo, Mwana wa Mungu. \v 2 Kama ilivyoandikwa na nabii Isaya, "Tazama, ninamtuma mjumbe wangu mbele yako, mmoja atakayetayarisha njia yako. \v 3 Sauti ya mtu anaita nyikani, "Itengenezeni njia ya Bwana; nyosheni njia yake".