sw_mrk_text_ulb/15/36.txt

1 line
296 B
Plaintext

\v 36 Mtu mmoja akakimbia, akajaza siki katika sponji na kuiweka juu ya mti wa mwanzi, akampa ili anywe. Mtu mmoja akasema, "Ngoja tuone kama Eliya atakuja kumshusha chini." \v 37 Kisha Yesu akalia kwa sauti kubwa na akafa. \v 38 Pazia la hekalu likagawanyika vipande viwili toka juu mpaka chini.