sw_mrk_text_ulb/13/35.txt

1 line
268 B
Plaintext

\v 35 Kwa hiyo iweni macho! Kwani hamjui ni lini bwana wa nyumba atakaporudi nyumbani, yawezekana ni jioni, usiku wa manane, wakati jogoo atakapowika, au asubuhi. \v 36 Kama akija ghafla, asikukute umelala. \v 37 Kile nikisemacho kwako nakisema kwa kila mtu: Kesheni"!