sw_mrk_text_ulb/11/13.txt

1 line
317 B
Plaintext

\v 13 Na akaona mti wa mtini uliokuwa na majani kwa mbali, alikwenda kutazama kama angeweza kupata chochote juu yake. Na wakati alipokwenda kwa huo, hakupata chochote isipokuwa majani, kwa kuwa haikuwa majira ya mtini. \v 14 Aliuambia, "Hakuna yeyote atakayekula tunda kutoka kwako tena". Na wanafunzi wake wakasikia.