sw_mrk_text_ulb/11/04.txt

1 line
277 B
Plaintext

\v 4 Walikwenda na kumkuta mwanapunda amefungwa nje mlangoni kwenye mtaa ulio wazi, nao walimfungua. \v 5 Na baadhi ya watu walikuwa wamesimama pale na waliwaambia, "Mnafanya nini, kumfungua mwanapunda huyo?" \v 6 Waliwaambia kama Yesu alivyowaambia, na watu wakawaacha waende.