1 line
316 B
Plaintext
1 line
316 B
Plaintext
\v 3 Kisha baadhi ya watu walikuja kwake waliomleta mtu aliyekuwa amepooza; watu wanne walikuwa wamembeba. \v 4 Wakati waliposhindwa kumpitsha kwa sababu ya umati wa watu, waliondoa paa juu ya mahali pale alipokuwa Yesu. Na walipokuwa wamekwishatoboa tundu, walishusha kitanda ambacho mtu aliyepooza alikuwa amelala. |