sw_mrk_text_ulb/01/35.txt

1 line
227 B
Plaintext

\v 35 Aliamka asubuhi na mapema, wakati kulikuwa bado giza; aliondoka na kwenda mahali pa faragha na aliomba huko. \v 36 Simoni na wote waliokuwa pamoja naye walimtafuta. \v 37 Walimpata na wakamwambia, "Kila mmoja anakutafuta"