sw_mrk_text_ulb/01/32.txt

1 line
303 B
Plaintext

\v 32 Jioni hiyo wakati jua limekwisha zama, walimletea kwake wote waliokuwa wagonjwa, na waliopagawa na mapepo. \v 33 Mji wote walikusanyika pamoja nje ya mlango. \v 34 Aliwaponya wengi waliokuwa wagonjwa wa magonjwa mbalimbali na kutoa mapepo mengi, bali hakuruhusu mapepo kuongea kwa sababu walimjua.