sw_mrk_text_ulb/01/16.txt

1 line
271 B
Plaintext

\v 16 Na alipita kando ya bahari ya Galilaya, alimwona Simoni na Andrea ndugu wa Simoni wakitupa nyavu zao katika bahari, kwa kuwa walikuwa wavuvi. \v 17 Yesu aliwaambia, "Njoni, nifuateni, na nitawafanya wavuvi wa watu." \v 18 Na mara moja waliacha nyavu na wakamfuata.