sw_mrk_text_ulb/05/11.txt

1 line
327 B
Plaintext

\v 11 Palikuwa na kundi kubwa la nguruwe likichungwa juu ya kilima, \v 12 Mapepo yaliomba , yakisema, "Turuhusu tuingie, ndani ya nguruwe." \v 13 Hivyo aliwaruhusu; roho wachafu walimtoka yule mtu na kuingia ndani ya nguruwe, nao nguruwe walitelemka chini ya kilima mpaka baharini, yapata nguruwe elfu mbili walizama baharini.