sw_mrk_text_ulb/05/07.txt

1 line
214 B
Plaintext

\v 7 Akalia kwa sauti kuu, akasema "Wataka kutufanyia nini, Yesu, Mwana wa Mungu aliye Juu sana? Nakuomba sana kwa huruma zake Mungu mwenyewe, usinitese." \v 8 Yesu alimwambia , "Mtoke mtu huyu, ewe roho mchafu."