sw_mrk_text_ulb/05/05.txt

1 line
206 B
Plaintext

\v 5 Usiku na mchana alikuwa makaburini na milimani, akipiga kelele na kulia na kujikata kwa mawe makali. kama mapepo yalivyo mtumikisha. \v 6 Alipomwona Yesu kwa mbali, alimkimbilia na kuinama mbele yake.