|
\v 16 Na baadhi ni watu waliopandwa juu ya mwamba, ambao, wanapolisikia neno, kwa msisimko wanalipokea kwa furaha. \v 17 Hawana mizizi yoyote ndani yao, lakini huamini kwa muda mfupi. Halafu tabu na mahangaiko vinapokuja kwa sababu ya neno, mara huacha imani. |