1 line
294 B
Plaintext
1 line
294 B
Plaintext
\v 69 Lakini mtumishi wa kike pale, alimwona na alianza kuwaambia tena wale ambao walikuwa wamesimama pale, "Mtu huyu ni mmoja wao!" \v 70 Lakini alikana tena. Baadaye kidogo wale waliokuwa wamesimama pale walikuwa wakimwambia Petro, "Hakika wewe ni mmoja wao, kwa maana wewe pia ni Mgalilaya." |