sw_mrk_text_ulb/07/11.txt

1 line
363 B
Plaintext

\v 11 Lakini mnasema, 'kama mtu akisema kwa baba yake au mama, "Msaada wowote ambao mngepokea kutoka kwangu ni hazina ya Hekalu,"' (hiyo ni kusema kwamba, 'imetolewa kwa Mungu') \v 12 hivyo haumruhusu kufanya jambo lolote kwa ajili ya baba au mama yake. \v 13 Mnaifanya amri ya Mungu kuwa bure kwa kuleta tamaduni zenu. Na mambo mengi ya jinsi hiyo mnayoyafanya."