1 line
363 B
Plaintext
1 line
363 B
Plaintext
\v 41 Aliuchukua mkono wa mtoto na alimwambia, "Talitha koum," ambayo ni kusema, "Binti mdogo, nakuambia, amka." \v 42 Ghafla mtoto aliamka na kutembea (kwa kuwa alikuwa na umri wa miaka kumi na miwili). Na ghafla walishikwa na mshangao mkubwa. \v 43 Aliwaamuru kwa nguvu kwamba hakuna yeyote anapaswa kujua kuhusu hili. Na aliwaambia wampatie yule binti chakula. |