|
\v 39 Alipoingia nyumbani, aliwaambia, "Kwa nini mmesikitika na kwa nini mnalia? Mtoto hajafa bali amelala." \v 40 Walimcheka, lakini yeye, aliwatoa wote nje, alimchukua baba wa mtoto na mama na wale waliokuwa pamoja naye, na aliingia ndani alimokuwa mtoto. |