sw_mrk_text_ulb/05/30.txt

1 line
359 B
Plaintext

\v 30 Na ghafla Yesu aligundua ndani yake mwenyewe kwamba nguvu zimemtoka. Na aligeuka huku na huku katika umati wa watu na kuuliza, "Ni nani aliyeligusa vazi langu?" \v 31 Wanafunzi wake walimwambia, "Unaona umati huu umekusonga ukikuzunguka, nawe wasema, 'Ni nani aliyenigusa?'" \v 32 Lakini Yesu alitazama huku na huku kuona ambaye aliyekuwa amefanya hili.