\v 28 Kwa kuwa alisema, "Kama nikiyagusa mavazi yake tu, nitakuwa mzima." \v 29 Alipomgusa, kutokwa damu kulikoma, na alijisikia katika mwili wake kwamba aliponywa kutoka kwenye mateso yake.