sw_mrk_text_ulb/05/11.txt

1 line
316 B
Plaintext

\v 11 Sasa kundi kubwa la nguruwe lilikuwa likilishwa juu ya kilima, \v 12 nao walimsihi, wakisema, "Tutume kwa nguruwe; tuingie ndani yao." \v 13 Hivyo aliwaruhusu; roho wachafu waliwatoka na kuingia ndani ya nguruwe, nao walikimbilia chini ya kilima mpaka baharini, na karibia nguruwe elfu mbili walizama baharini.