\v 7 Alilia kwa sauti kuu, "Wataka nikufanyie nini, Yesu, Mwana wa Mungu aliye Juu sana? Ninakusihi kwa Mungu mwenyewe, usinitese." \v 8 Kwa kuwa alikuwa amemwambia, "Mtoke mtu huyu, wewe roho mchafu."