sw_mrk_text_ulb/03/13.txt

1 line
283 B
Plaintext

\v 13 Alipanda juu ya mlima, na akawaita aliowataka, na wakamwendea. \v 14 Akawachagua kumi na wawili (aliowaita mitume), ili kwamba wawe pamoja naye na akawatuma kuhubiri, \v 15 na kuwapa mamlaka ya kutoa mapepo. \v 16 Na akawachagua kumi na wawili: Simoni, aliyempa jina la Petro,