sw_mrk_text_ulb/11/27.txt

1 line
228 B
Plaintext

\v 27 Wakarudi Yerusalemu tena. Na Yesu alipokuwa akitembea hekaluni, makuhani wakuu, waandishi na wazee walikuja kwake. \v 28 Na wakamwambia, "Kwa mamlaka gani unafanya mambo haya?" Na ni nani aliyekupa mamlaka kuyafanya haya?"