sw_mrk_text_ulb/11/24.txt

1 line
392 B
Plaintext

\v 24 Kwa hiyo ninawaambia: kila kitu muombacho na kuuliza, aminini kwamba mmepokea, navyo vitakuwa vyenu. \v 25 Msimamapo na kuomba, mnapaswa kusamehe chochote mlichonacho dhidi ya yeyote, ili kwamba Baba yenu aliye mbinguni awasamehe pia ninyi makosa yenu. \v 26 (Zingatia: Mstari huu, "Lakini msiposamehe, wala Baba yenu aliye mbinguni hatasamehe dhambi zenu" haumo kwenye nakala za kale).