sw_mrk_text_ulb/11/20.txt

1 line
177 B
Plaintext

\v 20 Walipokuwa wakitembea asubuhi, waliuona mti wa mtini umekauka mpaka kwenye mizizi yake. \v 21 Petro akakumbuka na kusema, "Rabi! Tazama, mti wa mtini ulioulaani umekauka".