sw_mrk_text_ulb/11/17.txt

1 line
363 B
Plaintext

\v 17 Akawafundisha na kusema, "Je haikuandikwa, 'nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala kwa mataifa yote'? Lakini mmeifanya pango la wanyang'anyi". \v 18 Makuhani wakuu na waandishi walisikia alivyokuwa amesema, nao walitafuta njia ya kumwangamiza. Hata hivyo walimwogopa kwa sababu umati ulishangazwa na mafundisho yake. \v 19 Na jioni ilipofika, waliondoka mjini.