sw_mrk_text_ulb/11/13.txt

1 line
262 B
Plaintext

\v 13 Na akaona kwa mbali mtini wenye majani, akaenda ili aone kama angeweza kupata matunda juu yake, alipofika akakuta majani tu, kwa kuwa haikuwa majira ya tini. \v 14 Akauambia, "Hakuna yeyote atakayekula tunda kutoka kwako tena". Na wanafunzi wake wakasikia.