sw_mrk_text_ulb/11/07.txt

1 line
382 B
Plaintext

\v 7 Wakamleta mwana-punda kwa Yesu na wakatandika nguo zao, naye akaketi juu yake. \v 8 Watu wengi wakatandaza mavazi yao barabarani, na wengine wakatandaza matawi waliyoyakata mashambani. \v 9 Wale waliotangulia mbele yake na wale waliomfuata walipiga kelele, "Hosana! Amebarikiwa anayekuja kwa jina la Bwana. \v 10 Umebarikiwa ufalme ujao wa baba yetu Daudi! Hosana juu mbinguni"