sw_mrk_text_ulb/11/04.txt

1 line
265 B
Plaintext

\v 4 Wakaenda, wakamkuta mwana-punda amefungwa mlangoni nje ya njia kuu nao wakamfungua. \v 5 Na baadhi ya watu waliokuwa wamesimama pale wakawaambia, "Mnafanya nini, kumfungua mwana-punda huyo?" \v 6 Wakawaambia kama Yesu alivyowaambia, na watu wakawaacha waende.