sw_mrk_text_ulb/05/39.txt

1 line
258 B
Plaintext

\v 39 Alipoingia nyumbani, aliwaambia, "Kwa nini mnahuzunika na kwa nini mnalia? Mtoto hajafa bali amelala." \v 40 Walimcheka, lakini yeye, aliwatoa wote nje, alimchukua baba wa mtoto na mama na wanafunzi wake pamoja naye, na aliingia ndani alimokuwa mtoto.