sw_mrk_text_ulb/05/30.txt

1 line
349 B
Plaintext

\v 30 Na ghafla Yesu aligundua ndani yake mwenyewe kwamba nguvu zimemtoka. Na aligeuka huku na huku katikati ya umati wa watu akauliza, "Ni nani aliyeligusa vazi langu?" \v 31 Wanafunzi wake walimwambia, "Unaona umati huu wanakufuta, wamekuzunguka nawe wasema, 'Ni nani aliyenigusa?'" \v 32 Lakini Yesu alitazama huku na huku akimtafuta aliye mgusa.