sw_mrk_text_ulb/05/28.txt

1 line
190 B
Plaintext

\v 28 Kwa kuwa alisema, "Kama nikiyagusa mavazi yake tu, nitakuwa mzima." \v 29 Alipomgusa, kutokwa damu kulikoma, na alijisikia katika mwili wake kwamba ameponywa kutoka kwenye mateso yake.