\v 16 Wale waliokuwa wameshudia kilichotokea kwa mtu aliyekuwa akipagawa na mapepo waliwaambia jinsi alivyo ponywa na pia kuhusu nguruwe. \v 17 Nao walianza kumfukuza Yesu aondoke katika mkoa wao.