sw_mrk_text_ulb/05/14.txt

2 lines
307 B
Plaintext

\v 14 Na wale waliokuwa wakichunga nguruwe walikimbia kwenda kutoa taarifa ya kilichotokea katika mji na. Ndipo watu wengi walitoka kwenda kuona kilichotokea. \v 15 Walikuja kwa Yesu na walimwona mtu aliyekuwa akipagawa na mapepo, amekaa chini, amevikwa, na nguo akiwa na akili
zake timamu, nao waliogopa.