sw_mrk_text_ulb/05/01.txt

1 line
194 B
Plaintext

\c 5 \v 1 Walikuja mpaka upande wa bahari, katika mkoa wa Gerasi \v 2 Na ghafla wakati Yesu alipokuwa akitoka nje ya mtumbwi, alikutana na mtu mwenye roho mchafu akija kwake kutoka makaburini.