\v 38 Aliwaambia, "Tunapaswa kwenda mahali pengine, nje katika miji inayozunguka, ili niweze kuhubiri huko pia. Ndiyo sababu nilikuja hapa." \v 39 Alikwenda akipita Galilaya yote, akihubiri katika masinagogi yao na kukemea pepo.