\v 3 Mtu huyu aliishi makaburini. Hakuna aliyeweza kumzuia. \v 4 Alikuwa amefungwa muda mwingi nyingi kwa pingu na minyororo. Aliikata minyororo na pingu zake zilivunjwa. Hakuna hata mmoja aliyekuwa na nguvu za kumshinda.