Mon Mar 28 2022 20:11:25 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-03-28 20:11:26 +03:00
parent 720f82fc99
commit beb0acb6ea
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 1 Tena alianza kufundisha kandokando ya bahari. Na umati mkubwa ulikusanyika ukamzunguka, akaingia ndani ya mtumbwi baharini, na kukaa. Umati wote walikuwa pembeni mwa bahari ufukweni. \v 2 Na akawafundisha mambo mengi kwa mifano, na akasema kwao kwa mafundisho yake.
\c 4 \v 1 Tena alianza kufundisha kandokando ya bahari. Na umati mkubwa ulikusanyika ukamzunguka, akaingia ndani ya mtumbwi baharini, na kuketi ndani ya mtumbwi. Umati wote walikuwa pembeni mwa bahari ufukweni. \v 2 Na akawafundisha mambo mengi kwa mifano, na akasema kwao kwa mafundisho yake.