Sat Mar 26 2022 10:46:38 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-03-26 10:46:39 +03:00
parent bcf1e10d79
commit b57e77eee5
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 4 Yohana alikuja, akibatiza nyikani na kuhubiri ubatizo wa toba uletayo msamaha wa dhambi. \v 5 Nchi yote ya Yudea na watu wote wa Yerusalemu walikwenda kwake. Walikuwa wakibatizwa naye katika mto Yordani, wakiungama dhambi zao. \v 6 Yohana alikuwa anavaa vazi la manyoya ya ngamia na mkanda wa ngozi kiunoni mwake, na alikuwa anakula nzige na asali ya porini.
\v 4 Yohana alikuja, akibatiza nyikani na kuhubiri ubatizo wa toba uletayo msamaha wa dhambi. \v 5 Nchi yote ya Yudea na watu wote wa Yerusalemu walikwenda kwake. Walikuwa wakibatizwa naye katika mto Yordani, wakiungama dhambi zao. \v 6 Yohana alikuwa anavaa vazi la manyoya ya ngamia na mkanda wa ngozi kiunoni mwake, na alikuwa anakula chakula cha nzige na asali ya porini.

View File

@ -39,6 +39,7 @@
"finished_chunks": [
"front-title",
"01-title",
"01-01"
"01-01",
"01-04"
]
}