Mon Apr 18 2022 13:51:33 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-04-18 13:51:34 +03:00
parent 4301448fa8
commit 95c1efe778
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 4 Wakaenda, wakamkuta mwana-punda amefungwa mlangoni nje ya njia kuu nao wakamfungua. \v 5 Na baadhi ya watu waliokuwa wamesimama pale na wakawaambia, "Mnafanya nini, kumfungua mwanapunda huyo?" \v 6 Waliwaambia kama Yesu alivyowaambia, na watu wakawaacha waende.
\v 4 Wakaenda, wakamkuta mwana-punda amefungwa mlangoni nje ya njia kuu nao wakamfungua. \v 5 Na baadhi ya watu waliokuwa wamesimama pale wakawaambia, "Mnafanya nini, kumfungua mwana-punda huyo?" \v 6 Wakawaambia kama Yesu alivyowaambia, na watu wakawaacha waende.

View File

@ -1 +1 @@
\v 7 Wanafunzi wawili walimleta mwanapunda kwa Yesu na walitandika mavazi yao juu yake ili Yesu aweze kumpanda. \v 8 Watu wengi wakatandika mavazi yao barabarani, na wengine wakatandika matawi waliyoyakata kutoka mashambani. \v 9 Wale waliokwenda mbele yake na wale waliomfuata walipiga kelele, "Hosana! Amebarikiwa anayekuja kwa jina la Bwana. \v 10 Ubarikiwe ufalme unaokuja wa baba yetu Daudi! Hosana kwa aliye juu"
\v 7 Wakamleta mwana-punda kwa Yesu na wakatandika mavazi yao juu yake ili Yesu aweze kumpanda. \v 8 Watu wengi wakatandika mavazi yao barabarani, na wengine wakatandika matawi waliyoyakata kutoka mashambani. \v 9 Wale waliokwenda mbele yake na wale waliomfuata walipiga kelele, "Hosana! Amebarikiwa anayekuja kwa jina la Bwana. \v 10 Ubarikiwe ufalme unaokuja wa baba yetu Daudi! Hosana kwa aliye juu"

View File

@ -91,6 +91,7 @@
"10-46",
"10-49",
"10-51",
"11-01"
"11-01",
"11-04"
]
}