Mon Apr 18 2022 13:45:33 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-04-18 13:45:34 +03:00
parent 69996af552
commit 7d77738443
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\c 11 \v 1 Sasa walipokuwa wakifika Yerusalemu, walikuwa karibu na Bethfage na Bethania, kwenye Mlima wa Mizeituni, Yesu akawatuma wawili miongoni mwa wanafunzi wake \v 2 na aliwaambia, "Nendeni katika kijiji kinachokabiliana nasi. Mara mtakapoingia humo, mtamkuta mwanapunda ambaye hajapandwa. Mfungueni na mmlete kwangu. \v 3 Na kama yeyote akiwaambia, 'Kwa nini mnafanya hivi'?, mnapaswa kusema, 'Bwana anamhitaji na mara atamrudisha hapa'."
\c 11 \v 1 Sasa walipokuwa wakifika Yerusalemu, walikuwa karibu na Bethfage na Bethania, kwenye Mlima wa Mizeituni, Yesu akawatuma wawili miongoni mwa wanafunzi wake \v 2 na akawaambia, "Nendeni katika kijiji kinyume na sisi. Mara mtakapoingia humo, mtamkuta mwanapunda ambaye hajapandwa. Mfungueni na mmlete kwangu. \v 3 Na kama yeyote akiwaambia, 'Kwa nini mnafanya hivi'?, mnapaswa kusema, 'Bwana anamhitaji na mara atamrudisha hapa'."