Mon Mar 28 2022 17:10:01 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-03-28 17:10:02 +03:00
parent 9037429581
commit 7b67eed50e
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 20 Kisha alienda nyumbani, na umati wa watu wakimfata kwa pamoja, tena, hata wasiweze kula mkate. \v 21 Familia yake waliposikia habari hiyo, walienda kumkamata, kwani walisema, " Amerukwa na akili". \v 22 Waandishi waliokuja kutoka Yerusalemu walisema, " Amepagawa na Beelzebuli," na, " N mtawala wa mapepo anatoa mapepo".
\v 20 Kisha alienda nyumbani, na umati wa watu wakimfata kwa pamoja, tena, hata wasiweze kula mkate. \v 21 Familia yake waliposikia habari hiyo, walienda kumkamata, kwani walisema, " Amerukwa na akili". \v 22 Waandishi waliokuja kutoka Yerusalemu walisema, " Amepagawa na Beelzebuli," na, " Ni mtawala wa mapepo na anatoa mapepo".

View File

@ -1 +1 @@
\v 23 Yesu aliwaita kwake na kusema nao kwa mifano, " Jinsi gani Shetani aweza kumtoa Shetani? \v 24 Kama ufalme ukigawanyika wenyewe, ufalme huo hauwezi kusimama. \v 25 Kama nyumba ikigawanyika yenyewe, nyumba hiyo haiwezi kusimama.
\v 23 Yesu aliwaita na kusema nao kwa mifano, " Jinsi gani Shetani aweza kumtoa Shetani? \v 24 Kama ufalme ukigawanyika wenyewe, ufalme huo hauwezi kusimama. \v 25 Kama nyumba ikigawanyika yenyewe, nyumba hiyo haiwezi kusimama.

View File

@ -80,6 +80,7 @@
"03-09",
"03-11",
"03-13",
"03-17"
"03-17",
"03-20"
]
}